NYUMBA MPYA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE,JIKO NA DINING IPO CHANIKA BUYUNI. KODI KWA MWEZI SH. 150,000/= KUANZIA MIEZI MINNE,UMEME NA MAJI VIPO. MAJI YANATOKA HADI CHOONI, KWENYE FENCE PEKE YAKO WAWEZA KUFUGA. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521,0679291521 info@dbt.co.tz, deodionise@gmail.com
TSh150,000