Rod trip experience

ARUSHA TO KENYA BORDER ROAD TRIP (COASTER TOUR KUTALII ) Safari hii Tunaingia Nchi Jirani Kenya ndanii kabisaasiku moja tu ya Jumapili tarehe 25-na jioni Tunarudii chuga Yani day trip.. safari itaanzia shoppers asbuhii saane kwenda NAMANGA ndanii kabsa,bei ni nafuu zama Kwa group letu upate mwongozo wote hapo Link group...https://chat.whatsapp.com/IPEq0px51xoDKCx62For0b group letu sio la biashara ni utalii wa ndani tu zingatia SHERIA za wenyejii

TRY22,000

seller's name'
Name: Immah B
seller phone number
Location: Arusha
uploaded on
Date: 05 August, 2024

Contact Seller