INA PANGISHWA 200,000X6 ILIPWE YA MIEZI SITA HAPA ANATAKIWA MTU SINGLE AWE WA KIKE AU WA KIUME ZINGATIA SANA ILI KUEPUKA USUMBUFU LOCATION: KIMARA STOP OVA NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA TATU UMEME LUKU YAKO MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 20,000 BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA 0659987289
FREE