Intel Evo Platform Powered by 12th Gen Intel Core i7 Processor and Iris Xe Graphics. RAM. 16Gb, SSD. 256Gb, Keyboard light, Ni laptop nyembamba na nyepesi mno (ultra lightweight).. inakaa na chaji kama simu hata na zaidi. Inatumia port ya USB type C kuchaji pia kama fast charge kwenye vifaa vingine. Ina processor ya kisasa na yenye Kasi mno core i7 ya 12th generation Intel evolution. Mwenye kuhitaji tafadhali nitafute 0685089635 tuma txt au piga.. comments naeza nisione Kwa wakati. 0685089635
$850,000