Kiwanja kinauzwa chang ombe Dodoma

KIWANJA KIDOGO CHA KUJENGA FREMU KINAUZWA MTAA WA MAZENGO, CHANG'OMBE DODOMA. umbali wa kilomita 4 kutoka mjini, kilomita 1.3 kutoka soko la Mavunde chang'ombe na kilomita moja kutoka kanisa la Roma Nkuhungu. Ni kiwanja Cha kwanza kwenye lami mpya. Plot namba 16 block Q na kina ukubwa wa 181sqm. Kinafaa sana kujenga fremu za biashara zaidi ya nne. Bei ni milioni 8.9 tu Site fee 10,000 Tuwasiliane 0743387260

$8,900,000

seller's name'
Name: Dodoma B
seller phone number
Location: 411
uploaded on
Date: 18 August, 2024

Contact Seller

seller phone number Phone Number: 0743387260

Product Images

A picture of Kiwanja kinauzwa chang ombe Dodoma
Image 1 of 2
A picture of Kiwanja kinauzwa chang ombe Dodoma
Image 2 of 2