Nyumba ya kupanga Arusha , Single self Uswahilini mwisho wa hiece 70K Nyumba ni room moja kubwa na choo chake ndani Ina wapangaji wa 5 Nyumba ni mpya kwakweli Maji umeme upo , Separate meter Simtank la maji Bara bara lami MT 200 Kodi yake kwa mwezi ni 70000 Utalipia kwa miezi mi 3 Ukipenda dalalis commission mwezi mmoja . Call 0754288136 0719499889
TZS70