Nyumba Single self ya Kupanga , Arusha , field force____ Olacity 70K Ni room moja jiko na choo chake Maji yapo Umeme upo Wapangaji wa 6 Ipo ndani ya geti , Separate meter Mt 150 toka Lami Bei ya kodi kwa mwezi ni 70000 Kulipwa miezi mi 3 Wahi , imebaki kimoja Tu Dalalis commission mwezi mmoja ukipenda nyumba More
TZS70