Crown Athlete Inauzwa bei poa iko vizuri haina changamoto yoyote isipokua Changamoto zake:- 1. Taa ya kushoto ya nyuma ilibanduka ile cover nyekundu na kurudishiwa ya kuchonga. 2. Rangi yake kuna sehemu imepauka kwenye buti basi. 3. Sijweka sitika ya Usalama barabarani 4. Imekwanguliwa kidogo upande wa kushoto lakini sio ajali Gari iko Morogoro More
TZS8,000,000