Nyumba inauzwa jijini Arusha Mahali moshono. Ni nyumba yenye room 3 za kulala room moja master. Ina seble kubwa + Daining. Ina jiko Ina public toilet. Size ya plot 20/25 ni sawa sqm 500. Nyumba ina title dead(hati milk) BEI ML 60. HUDUMA ZOTE KAMA VILE:- Barabara,maji na umeme ipo hapo kweny nyumba. Hii nyumba Inafaa kwa makazi au kwajil ya nyumba za kupanga. CALL 0684170231/0762988989.
$60