BLENDER YA MAAJABU. Hii blender ina uwezo wa kusaga JUICE , Kuchemsha supu, kupasua barafu, kukataka vegetables, kutengeneza KAHAWA na SMOTHIE . Zimekuja 2 tu za mtumba. Zimetoka MJINI COVENTRY, UK . Brand COOKS PROFESSIONAL. Hii ni brand ghali kule UK . Brand imara. High quality. Price 190,000/=.
TSh190,000