Nyumba inauzwa Ipo maji ya chai stend kwa chini mita 900 kutoka Barabara kuu moshi Arusha ukubwa wa eneo ni 20 kwa 30 mita haina mgogoro wowote ina vyumba 3 vya kulala kimoja master jiko sebule bei m.38 njoo uvuruge bei nipigie 0717435891
TZS38