Nyumba inapangishwa sekei halmashauri kwa juu kidogo sifa ya nyumba inamazingira mazuri sana vyumba 4 vya kulala kimoja ni master bedroom jiko public toilet sebule nzuri imezungushiwa ukuta ndani parking kubwa kunasehemu ya kuingiza gari ndani zaid ya mbili unafungia haipati jua wala mvua bei ni laki 3: tu kwa nini ukose kodi inaanzia miez 3 kuendelea kuona nyumba ni 10,000 ukipenda mwez kwa dalali Mr.mdee 0717435891
TZS300