NYUMBA YA KUKODI(INAJITEGEMEA LOCATION: Kigamboni Kibada Kilomita 10 Toka Ferry Vyumba Vitatu vya kulala Kimoja Kati Yake Ni self contained,sebule, Jiko , choo cha familia, maji, LukuYake , Fence/Geti na parking BEI Laki Tatu Na Elfu Hamsini TZS (350,000 TZS) kwa mwezi + malipo ya mwezi mmoja kwa @dalali_kigamboni_bango ___ Service charge Elfu 15 TZS hadi unapata nyumba utakayoipendamchl ___ CALL 0718295182
TZS350,000