KIWANJA KINAUZWA MKONZE DODOMA. Ni takribani kilomita 7.5 kutoka mjini na kilomita 1.5 kutoka barabara ya lami. Ni Mkonze south block D plot no.7 kina ukubwa wa 671sqm kimepimwa na kina hati. kuna huduma za Maji na umeme. Good neighborhood, majirani wanajenga nyumba za kisasa tu. Bei ni milioni 5.9 tu Site fee ni 10,000 0743387260
$5,900,000