Kiti cha ofisi na meza ya ofisi vinauzwa vyote kwa bei chee Tsh 300,000 tu. Meza kali ya kisasa na imara (Portable) Miguu ya chuma Kiti ni cha kiofisi cha kuzunguka.(Used like New) Vyote vinauzwa kwa bei ya 300,000( Mazungumzo kidooogo) Location: Magomeni Makanya(njia ya kwenda Sinza) Dar es salaam Upo pia mlango wa kioo bei maelewano. Contact: 0 7 6 8 7 6 0 7 1 0
TZS300,000