0767514583 selling my quadbike -Ina option ya 4-wheel drive -CC550 -petrol(fuel consumption yake nzuri sana) -inaweza beba mizigo mingi mbele na nyuma -ina hook ya kuvutia(Ina nguvu sana) *Wale wa shamba au beach hii inawafaa haikwami kwenye tope Wala mchanga* Only for 4m inakuja na full tank Maoni/malalamiko/dukuduku tukutane inbox Tusutane
$45