Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana Ina eneo square miter 600 Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp Ipo mbagala chamaz saku ilulu jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya bei milion 28 Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0652618143 0759203175
TZS29