ipo ubungo dar tz namba ya simu 0710094490 simu ina kreki kidogo haisumbui na ukiweka protecta haionyeshi atabkido utazawadiwa na chaji na usb free inakaa na chaji sana uwezo wa simu GB 64 RAM 4 ninaeiuza ndio naitumia . wahi fasta uchukue mali nzuri kwa bei chee
$160,000