Nyumba inauzwa ipo ukonga moshi bar wilaya ya Ilala mkoa DSM. Nyumba inavyumba vinne vya kulala kimoja master ina jiko, public toilet, sitting room na dining. Nyumba ipo ndani ya fence ukubwa wa kiwanja sqm 300 Bei mill.67 Njoo uangalie nyumba maongezi yapo. Simu 0655123147/0755230978
TZS67,000,000