Wananzengo wa Buza,Mwanagati,Abiola,Kinyanyila,Mbagala,Gongo la Mboto,Temeke na Ilala hadi Kinondoni nimewaletea Upande wa nyumba wenye vyumba vitatu vya kulala na ina bonge la sebule kubwa sana na choo chake kipo kwa ndani umo umo kwenye koldo(sio masta) na wapangaji ni watatu tu na nyumba ipo ndani ya fensiLocation Upande upo Buza na nyumba More
TZS200,000