Computer kali sana, bei kitonga sana. Haina shida yoyote. Iko vizuri ilikua inatumika kufanya editing na Adobe Premiere Pro na Adobe After Effects Dell optiplex 3020 complete. Core i3 Processor 3.4ghz Ram 4gb Harddisk 500gb Bei cpu 280,000 tu Piga: 0 7 6 8 7 6 0 7 1 0
TZS280,000