Jipatie jiko banifu LA Kuni kwa matumizi. Ya nyumbani na taasisi kama mashuleni, vyuoni na taasisi mbalimbali Ni jiko Salama kwa mtumiaji, linaivisha chakula. Kwa haraka. Kwa kutumia nishati kidogo ya Kuni... Haliruhusu moshi ndani ya jiko moshi wote unatoka nje. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0789418565
TZS25