Nauza Samsung S7 iko fresh crake moja mbele kidogo kwa juu na moja nyuma kwa kioo na button za back na files hazifanyi ila nimezihamishia kwa screen fingerprint inayo Bei ni elfu 90 haipungui hata namba yangu ni 0685741405 nipo kariakoo yanga
FREE