Piga/WhatsApp 0718313133 Bei yake shilingi milioni 125 Apartment zinauzwa mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Apartment zipo chumba 8.kika chumba ki moja kina choo na jiko. Kila chumba kina luku yake pamoja na mita yake ya maji. Kodi ni laki moja kila chumba. Kwa hiyo sawa na laki 8 kwa mwezi. Apartment zipo jerani kabisa na barabara kuu ya lami. Bei yake shilingi milioni 125 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu Call/WhatsApp
FREE