Nyumba inauzwa 1834 sqmt nyuma ya Kiwanda cha Pepsi. Imepakana juu na Nyumba ya Sunkist,chini Steel centre,Oisoo Hardware,Tanapa,Nitro Explosives inatazamana na Captain Ndorosi,Mwl Mwakasege. Kuna nyumba moja eneo ya garden kubwa.
TZS8,000,000