Nyumba inauzwa ipo chamazi mbagala wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam.nyumba ina vyumba4 kimoja master.diningroom.sitingroom.jiko.stoo public toilet. Inafance nzima maji na umeme yapo.kuna packing kubwa ndan ya gari4.nyumba ni nzuri sana wadau wangu kwa maelezo zaidi nipigie whatsap no ni0686403260 na kawaida 0778852337/0746875806 karibun sana
TZS55