ANZA UJENZI KWA MILION MOJA NA NUSU

JENGA KWA TSH MILION MOJA NA NUSU TU. Wenzangu kwenye nyumba za kupanga/ ambao mpo kwa ndugu je una kiwanja ata Cha 20*20 kama jibu ni ndiyo Aya twende kazi ZINGATIA HII NI KWA CHUMBA KIMOJA TU CHA KUANZIA 1.Cement mifuko 8=136000 2. Tofl mia tat(300) =360000 3. Bati Tisa msouth =198000 4. Mbao za 4by2 nne= 32000 5. Mbao za 4*4 SITA =18000 More

$1

seller's name'
Name: KITU C
seller phone number
Location: Dar es Salaam
uploaded on
Date: 22 September, 2024

Contact Seller