Nyumba inauzwa ipo chamazi mbagala wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam.nyumba ina vyumba3 kimoja master sitiroom dining room jiko stoo umeme na maji yapo inauzwa milion 25 tu maongezi yapo kidogo.kwa maelezo zaidi nipigie whatsap 0686403260 0746875805 Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba ipo jilani kabisa na barabara.karibuni sana wadau wangu.
TZS25