Nyumba mbili ndani ya eneo moja zinauzwa-ARUSHA NjiaNg'ombe (Maji ya chai) kilometer moja kutoka barabara kuu ya Arusha-Moshi! Nyumba kubwa kam inavyoonekana Ina room 3 na zote ni self, Sitting room, Dinning, pamoja na jiko na Ina Baraza mbili! Nyumba ndogo ni duka na store! Eneo lina ukubwa wa hatua 20 kwa 45!Bei kwa ujumla ni milioni 55 na kuna mazungumzo! Piga sim namb 0682615616 ama 0755189850Kwenda kuona nyumba gharama yake shillingi elfu 10