Nauza kiwanja kizuri kipo Kidimu Kibaha.Ukubwa ni 25x25 meters.Eneo ni zuri sana Kwa kuishi na ufugaji.Dakika chacha toka Barabara kuu inayotoka kibaha kuelekea Mapinga (Baobab).Bei 2,800,000. See more