Habari Mpendwa Kipekeee napenda kukukaribisha kwenye Madarasa ya #Elimu ya #Biblia, lenye Lengo la Kukuongeza #Maarifa na ufahamu juu ya Unabii na uhalisia wa Neno katika Kitabu cha #Ufunuo & Agano Jipya.Jiandikishe Hapahttps://forms.gle/bqQ9HMEjyQAooX617#Kozi hii inatolewa, bila Gharama ya Malipo yoyote. Ni Buree kabisaa. Utajifunza kupitia vituo vyetu vilivyo karibu na wewe(Offline) au kwa njia ya Mtandaoni (Online) kwa wachungaji Tu. See more