Hii gari original ni 120 engine 1kz up grade , shida yake ni injector pump. Haiwashi gari. Dada kataja 20 kakague gari kamgalagaze nenda na fundi pump akague. Au kama una gari 1kz wahamishie pump kwny hiyo utest umporomoshe 0765983943