TOYOTA RACTIS namba DLM inauzwa milioni 6 kwa mwenyewe gari kali sana imetunzwa haina changamoto yoyote engine safi gear box nzima ina document full A/C ipo mnunuzi uje na raki 3 location kibaha upo siliazi piga2 simu 0629947649