Mdada anayeweza kazi ya stationery anahitajika Unalipiwa Chumba bure ili uwe karibu na ofisi Malipo ni TSH 80,000/= Kwa mwezi Nicheki DM