Habari wadau shamba linauzwa ekari 140 katika ekari 140 ekari 70 zimesafishwa kabisa japo visiki havijatolewa shamba hili linauzwa milioni 11 heka zote 140 safi 70 na chafu 70 shamba lipo mkoa wa singinda wilayani itigi kijiji sanjalanda lipo kilometa 7 kutoka senta hapo sanjalanda shamba halina kipengele chochote linafaa kwa kufuga na kilimo kw wenyewe kulihitaji karibu sana kwa mawasiliano 0761558984