NYUMBA INAUZWA IPO CHAMANZI DAR ES SALAAM MANISIPAA YA TEMEKE, BEI MILIONI 53,000,000/= MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU 0783399366 WHATSAPP PIA INAPATIKANA Nyumba inavyumba vi 3 vya kulala chumba kimoja master Ina sebule, dining, Jiko, store, public toilet, pia Kuna kisima cha maji, karibuni sana gharama ya kupelekwa saiti ni elfu 30,000/=