Nyumba inauzwa, ipo kigamboni mikwambe chuo. Ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja masta, sebure jiko na choo cha publik. Ina umeme na maji. Bei ni milion 60 inapungua. Kiwanja chake kina ukubwa wa mita 30 kwa 30. 0757960067.0623874603.

seller's name'
Name: Nyumba
seller phone number
Location: Tanzania
uploaded on
Date: 23 January, 2026

Contact Seller

Loading recommendations...