Njoo ujichukulie Gari aina ya Nissan inatumia diesel power kila kitu chake kipo vizuri Gari hii ni ya mfumo wa manual njoo ujiwahie kabla mwingine hajawahi kwa bei ya shillingi milioni 10 ( Million kumi) maongezi yapo kidogo kwa mteja aliye serious nicheki kwa namba 0712 553907 au 0783 282099 njoo uikague Gari tufanye biashara napatikana ukonga mombasa karibu kwa maongezi zaidi
TSh10