Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga

Nyumba ina muonekano wa kuvutia. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitoshereza ( Masta bedroom) , subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote Hii ni nyumba imejengwa kwa malighafi bora, mafundi na wasimamizi bora! Wahi nyumba hii sasa. Inauzwa na furniture zake. Ipo katika jengo lenye lift genereta na bwawa la kuogerea. Panga siku na muda wa kuja kuiona. Mawasiliano +255755312233

TSh276,000,000

seller's name'
Name: Kitomai K
seller phone number
Location: Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania
uploaded on
Date: 17 November, 2022

Contact Seller

seller phone number Phone Number: 0755312233

Product Images

A picture of Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga
Image 1 of 5
A picture of Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga
Image 2 of 5
A picture of Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga
Image 3 of 5
A picture of Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga
Image 4 of 5
A picture of Nyumba Ya Ghorofani Apartment Inauzwa Upanga
Image 5 of 5