Ni nyumba nzuri sana inapangishwa maeneo ya eliboru karibu na riadha lodge, nyumba ina sifa zifuatazo:- 1 Ni selfu ya chumba sebule choo jiko ndani 2 Wapangaji 5 kila mtu luku yake mwenyewe 3 Parking ipo, maji umeme upo wahi 4 Mita 500 toka lami
TSh120,000