Nyumba ipo kijichi mwanamtoti, ni ya marekebisho ipo karibu na barabara , vyumba vinne + sebule + jiko nicheki 0787173280 kama uko serious tu, haina dalali mimi ndio mhusika
TSh10,000,000