BEI;1,500,000/= Nauza canon eos m50 mark ii(Mirrorless Camera).BONGE LA CAMERA. imetumika wiki moja ina hadi box lake,haina shida yoyote,naiuza sababu ya matatizo. Ina Vitu Vifuatavyo Memory Card Mbili(Gb64&Gb4) Mkanda Kit Lens(15mm-45mm) Betri Moja Box Lake USHINDWE WEWE.
TSh1,500,000