Ni nyumba classic inapangishwa ngaramtoni ya chini arusha Ukitoka arushaa mjini unapita airport mbele ya sable square Ni nyumba yenye room nne za kulala room tatu ni master Ina makabati vyumbani Ina sebule kubwaa yenye nakshi za urembo Ina dairning nzurii Ina jiko kubwa lenye makabati na store Ina public toilet na bathroom Ina heater See more
TSh700