Nyumba ina uzwa ipo Goba center kutoka hapo Goba center hadi kwenye nyumba Kilomita1 nyumba ina room 3 zote nimaster jiko la maana pia sebule yakutosha ukubwa wa kiwanja sqm1400 pame pimwa hati bado bei milioni 320 maongezi yapo Karibuni sana Piga simu 0687982385
TSh320