Selfu ya room mbili za kulala inapangishwa moshono nyuma ya club d. - Ina sitting room 2bdrm za kulala & public toilet Bei 200,000x 6months. Wapangaji watatu tu kweny compound. -kila mmoja anajitegemea kwa mita yke ya umeme. Kuona nyumba elf10 service charge ya kwenda kuona nyumba. Kwa maelezo Zaid pg:- 0762 988989. 0684170231
TSh200,000