SIMU LG K40 NA WIFI ROUTER. SIMU INA GB32 CAMERA ZOTE ZIPO CLEAR KALI FINGERPRINT INAFANYA KAZI FRESH. KIPENGELE CHA SIMU HAIPANDISHI 3G WALA 4G INASOMA 2G PEKEE NDOMANA NAITUMIA NA WIFI NA NAUZA VYOTE PAMOJA KWA TSH.80,000/=
$80