NYUMBA YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER NA SEBULE KUNA KIBARAZA CHA KUPIKIA, PIA KUNA FREMU YA BIASHARA. IPO BUYUNI NJIA YA CHANIKA. KODI KWA MWEZI SH. 100,000/= KUANZIA MIEZI MINNE,UMEME NA MAJI VIPO. KUPELEKWA KUKAGUA SH. 5,000/= PIGA/WHATSAPP/EMAILS +255765291521,0679291521 info@dbt.co.tz, deodionise@gmail.com
TSh100,000