Hii apartment IPO kariakoo mtaa wa msimbazi ipo floor ya 5 lift IPO generator nichumba kimoja kikubwa ambacho ni master sebule jiko choo Cha pablc bei laki 5 40 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 no sevice charge hapo apo Kuna nyumba ya vyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablc bei laki 5 40 Kwa mwezi ipo floor ya 10 bei ni moja Livingston na chumba master sebule jiko choo bei laki 4 50 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 ipo floor ya 6 lifth IPO generator
TSh540,000