Ni Apartment yenye room mbili za kulala inapangishwa moshono. Umbali mita 300 kutoka main road. Ina wapangaji wanne kweny compound. -ina sitting room, Daining -2bdrm#1master Ina Jiko, store & public toilet -Bei laki nne x 3months & deposit ya Kodi ya mwez kwa ulinzi wa nyumba. Kwa maelezo Zaid pg:- -0762 988989(call) Whatsapp,0684170231.
TSh400,000