Ni nyumba nzuri sana inapangishwa moshono Boma sihara, nyumba ina sifa zifuatazo:- 1 Ni room moja yenye choo ndani kubwa, mazingira safi 2 Nyumba ina parking ipo kubwa, Mita 200 toka lami 3 Wapangaji wanne, maji umeme upo wahi mapema sana
TSh90,000